VideoMpya: Smile na Nedy Music wametuletea ‘Ti amo’ karibu kuitazama
VideoMpya: Smile na Nedy Music wametuletea ‘Ti amo’ karibu kuitazama
Leo November 7, 2018 Wakali wawili wamekutana katika track moja ni Smile TheGenius toka Zanzibar na Nedy Musicambapo wametuandalia ngoma mpya inaitwa Ti amo , bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuacha comment yako ili Smile na Nedy waone umeipokeaje
Hakuna maoni