Breaking News

NAMNA YA KUDUM KWENYE MAHUSIANO YA MBALI

NAMNA YA KUDUM KWENYE MAHUSIANO YA MBALI

Uwali gani msomaji wa mtandao huu bila shaka utakuwa mzima wa afya,na kama hauko vizuri kiafya kwa namna moja hama nyingine cha kufanya ni kumuomba Mungu kwani yeye ndo muweza wa yote,leo utaenda kujifunza namna gani ya kudum katika mahusiano ya mbali,naposema mahusiano ya mbali kama ujanielewa vizuri namaanisha mpenzi wako kuwa mbali na wewe,huenda anasoma nje ya nchi au kapangiwa kazi hama yuko mbali kwa namna yoyote ya  mizunguko ya kimaisha,ikafanya ukaishi mbali na mpenzi hii inaweza kuwa mkoa na mkoa au nchi na nchi,basi leo utajifunza namna ya kudumisha
mahusiano yenu yakaendelea kuwa vile vile kama mulivyo kuwa zamani,unapokuwa na mpenzi wako anaishi mbali na wewe (Long Distance) kinacho takiwa kufanya ili kuendelea kudum nae kwenye mahusiano yenu,hakikisha kila siku asubuhi munajuliana hali itakuwa nzuri zaidi kwa kupigiana simu epuka kutumia sms mara kwa mara,hii itasaidia sana kila mtu kujua hali/uzima wa mwingine,pia ni nzuri zaidi kujua mpenzi wako ameshindaje,vilevile epukeni kuwa munawasiliana mara kwa mara,maana unapo kuwa unawasiliana na mpenzi wako mara kwa mara ipo siku unaweza kuwa umebanana na kazi siku hiyo ukashindwa kumtafuta    
kuwasiliana nae siyo kila muda muwasiliane au kuchat tenga muda wa kufanya mawasiliano na mpenzi wako,hakikisha kwa siku munawasiliana mara mbili isizidi hapo wala kupungua hapo,ikizidi hapo au ikipungua itakuwa na madhara maana unapokuwa munawasiliana zaidi ya mara mbili kwa siku itaonekana kama munasumbuana sana,na ikipungua itaonekana pia kama hampendani,kwahiyo hakikisha kwa siku munawasiliana mara mbili tu ukiachana na zile za kujuliana hali,na munapokuwa munawasiliana usiwe mtu wa kulalamika sana hata kama unajua kakukosea usilalamike,jaribu kuongea vitu vya msingi kwa mpenzi wako,ili kusudi maneno yako yawe ya faraja kwake na hazidi kukumis kila kukicha,maana ukiwa mtu wa malalamiko,hata kama kakukosea kiasi gani usilalamike wala kumwambia kitu chochote,kama hatakuwa kakukosea wewe cha kufanya usilalamike hata kidogo siku mukiwa pamoja ndo itakuwa vyema kumwambia,mwisho kabisa hakikisha mpenzi wako anajua ratiba zako zote,itasaidia sana mpenzi wako kujua au kutambua hata kama siku hiyo hamjawasiliano,itasaidia yeye kufahamu kuwa utakuwa wapi na umeenda kufanya nini,bila shaka umejifanza kitu,usikose kuendelea kutembelea blog hii kila siku.

BY
   EMMANUEL MKOME (Mr Arsenal)  0767372829

Hakuna maoni