Breaking News

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA UJAINGIA KWENYE NDOA YAKO

Ni muda mwingine tena na zidi kukupa namna mbalimbali ya ya kuishi katika maisha ya mahusiano au ya ndoa,siku za nyuma nilikuletea nguzo mbili (2) muhimu katika maisha ya mahusiano au ya ndoa yako jana ni kaja na makala ya namna gani ya kudum katika mahusiano ya mbali (Long Distance) kama ulikosa makala hizo mbili basi cha kufanya peruzi kwenye machapisha ya nyuma ya blog hii utazikuta na utajifunza kitu,basi leo utaenda kufahamu kwa kina zaidi mambo ya kuzingatia  kabla ya kuingia kwenye ndoa yako.

JAMBO LA KWANZA
>>Muda wa uchumba wenu usipungue wala
kuzidi miaka miwili (2)
hii itakusaidia kujua na kufahamu kwa kina zaidi mchumba wako,kila Mmoja atakuwa amesha jua tabia za mwezake,na ikizidi miaka miwili italeta shida pindi mukiwa kwenye ndoa yenu maana tayari kila mtu ataingia kwenye ndoa mumesha choshana vya kutosha  (musiwe na uchumba sugu miaka zaidi ya 2 na kuendelea)

JAMBO LA PILI LA KUZINGATIA
>>Kuweni na muda maalum (specific time) wa kuwa munakuta na mchumba wako,itakuwa nzuri zaidi mukikutana mara moja kwa mwezi,epuka kukutana kila siku au kila wiki,itasaidia sana kuto kuchoshana mapema kabla ya ndoa yenu maana munapo kuwa munakuta
Mara kwa mara itafanya mchokane mapema sana hata kabla ya ndoa yenu.

JAMBO LA TATU LA KUZINGATI
>>Hakikisha musifanye tendo la ndoa kabla ya ndoa,nadhani ukiwa mwelewa wewe mwenyewe utajua kwa nini lili itwa tendo la ndoa,jibu utapata kuwa kumbe hicho kitendo kinafanywa na watu waliyoko kwenye ndoa tu,najua unaweza kusema haiwezekani hizo ni fikra zako tu,hicho kitu kinawezekana na ndo maana nikakwmbia musiwe munakuta mara kwa mara,kwa maana kwamba munapokuwa munakutana maramara mwishoe italetat shida munafikia hatua ya kufanya mapenzi (sex) kwahiyo kwa wewe unaeona uwezi kuingia kwenye ndoa ujafanya
tendo la ndoa inawezeka kama ukizingatia hiyo hatua ya pili niliyo kwambia hapo juu.kwa leo tuishie hapo cha kufanya usikose kutembelea hapa kila siku

usiko jambo la nne la kuzingatia na hadi jambo la kumi

BY
  EMMANUEL MKOME (Mr Arsenal)
    0767372829.

Hakuna maoni